- 1,336 viewsDuration: 53sAmos Nyingi Wambua, mwenye umri wa miaka 23 na mshukiwa mkuu wa mauaji ya mama na watoto wake wawili huko Kathiani kaunti ya Machakos amefikishwa katika mahakama ya Machakos lakini hakujibu mashtaka baada ya upande wa mashtaka kuomba apewe siku 5 zaidi kukamilisha uchunguzi.