Msichana aokolewa katika mauaji ya babake, mamake na kakake

  • | K24 Video
    95 views

    Wakazi wa Chemoe huko Baringo kaskazini wanahofia maisha yao kufuatia shambulio la juzi la majambazi walioua watu watatu wa familia moja huku msichana wa umri wa miaka minne aliyedhaniwa ameuawa akipatikana hai baadaye kando ya miili ya wazazi wake. Familia iliyopata msiba haijui ianzie wapi kuhusu mipango ya mazishi kwani majambazi wanaoonekana wamebadili mbinu.