Msichana wa kidato cha tatu afariki papo hapo kwa kugongwa na trela, Lukolisi

  • | TV 47
    93 views

    Msichana wa kidato cha tatu afariki papo hapo kwa kugongwa na trela.

    Mwanafunzi wa kiume ajeruhiwa vibaya, akimbizwa hospitalini.

    Trela la masafa marefu lapoteza mwelekeo, liligonga wanafunzi.

    Dereva atoroka mara baada ya ajali kutokea.

    Wakazi wa Lukolisi wateketeza trela kwa hasira.

    Wananchi walalamikia ongezeko la ajali katika barabara ya Busia–Malaba.

    Wakazi wataka hatua madhubuti kudhibiti magari makubwa mashinani.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __