Familia moja katika Kaunti ya Homa Bay inatafuta haki kufuatia mauaji ya binti wao wa miaka 13. Mwili wa Mary Triza, mwanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Kamsama Comprehensive, ulipatikana umetupwa kando ya barabara katika kijiji cha Rabour.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive