Je ulianza kutunza akiba ya pesa ukiwa na umri wa miaka mingapi?
Tracy Rabi ni mtaalam wa masuala ya fedha mwenye umri wa miaka 13 kutoka Tanzania.
Alianza kujifunza masuala ya fedha akiwa na umri wa miaka nane na sasa ana malengo ya kusaidia watoto wengine kuwafundisha kuhusu fedha na ujasiriamali.
Tracy Rabi ameandika vitabu vitatu vinavyohusu pesa na ujasiriamali na anaendesha mafunzo ya biashara kwa watoto yote haya akiwa na umri wa miaka 13 tu.
#bbcswahili #tanzania #watoto
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Aug 2025
- Health Cabinet Secretary (CS) Aden Duale has announced plans to set up a joint committee with the CEOs of insurance companies across the country to tackle fraudulent activities that have been plaguing the Social Health Authority (SHA).
18 Aug 2025
- President William Ruto has vowed to ensure that Members of Parliament and Senators behind an extortion scheme called soko huru are apprehended.
18 Aug 2025
- The death toll from a blast at a gunpowder plant near Moscow rose to 20, with more than 100 wounded, the authorities said on Monday, as a probe began into possible industrial safety violations.