Mtaalamu wa kutengeneza mapambo athari kwenye filamu na video

  • | BBC Swahili
    2,028 views
    Jafari Athuman ni mtalamu wa kutengeneza mapambo athari nchini Tanzania kazi ambayo alijifunza kupitia mitandao ya kijamii na amekuwa akifanya vizuri tangu mwaka wa 2020 kiasi cha kushinda tuzo kadhaa ikiwemo tuzo ya msanii bora wa mapambo athari Tanzania mwaka 2023. Jafar hutumia wastani wa dakika 20 mpaka saa moja na nusu kutengeneza Jeraha au kidonda kulingana na ukubwa wake. Gharama za uandaaji wake huanzia dola za Kimarekani ishirini mpaka dola 500 kwa pambo kubwa zaidi ambalo kwake ni mwili wa binadamu uliooza kabisa 🎥 & ✍: @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #tanzania #sanaa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw