Skip to main content
Skip to main content

Mtafiti aonya: AI inaweza kuua binadamu wote ndani ya muongo mmoja

  • | BBC Swahili
    12,869 views
    Duration: 2:13
    Mtafiti mmoja masuala ya teknolojia amesema kuna uwezekano wa zaidi ya asilimia 10 kwamba AI inaweza kuua binadamu wote ndani ya miaka 10 ijayo. Evan Hubinger kutoka kampuni ya Anthropic amesema ana wasiwasi kwamba teknolojia hiyo inaweza kuboreshwa hadi kufikia kiwango ambacho ni tishio kwa binadamu. Je hii ni tahadhari ya kweli au ni hofu tu? @_phillys anaelezea kwa kina #bbcswahili #AI #teknolojia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw