Mtihani wa KCSE wang'oa nanga nchini

  • | Citizen TV
    308 views

    Wizara ya elimu imetoa hakikisho kuwa serikali imeweka mikakati ya kuzuia visa vya udanganyifu katika mitihani ya KCSE iliyoanza leo kote nchini. Akizungumza alipoongoza zoezi la kusambazwa kwa mitihani hiyo eneo la westlands, katibu wa elimu Belio Kipsang amewarai wasimamizi kuhakikisha hakuna visa vya udanganyifu huku akisema maeneo yaliyoathirika na mafuriko yatafikiwa na mitihani kwa kutumia ndege