15 Jul 2026 10:08 am | Citizen TV 2,124 views Duration: 1:20 Familia moja kaunti ya Nakuru yaitaka wizara ya elimu na maafisa wa usalama kuchunguza kisa ambapo mwana wao mwenye mahitaji maalum afariki baada ya kuchomeka na maji ya moto akiwa shuleni