Ian Baraka, mvulana wa miaka saba ambaye uso wake ulijeruhiwa vibaya wakati wa shambulizi la majangili mapema mwaka huu, amefanyiwa upasuaji wa kurekebisha uso wake katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH). Madaktari waliotekeleza upasuaji huo wamethibitisha kuwa shughli hiyo ilikuwa ya mafanikio na sasa Ian anaendelea kupata nafuu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive