Mtoto mwenye umri wa 12 afariki kutokana na uhaba wa oksijeni katika hospitali ndogo ya Molo

  • | NTV Video
    342 views

    Huduma za afya katika hospitali ya kaunti ndogo ya Molo huko Nakuru zimetatizika huku wagonjwa wakikosa huduma za maabara, x- ray, upasuaji na hata oksijeni.

    Inaripotiwa kuwa mgonjwa mmoja mwenye umri ya miaka 12 amefariki wiki hii kutokana na uhaba wa oksijeni, wakaazi wakionesha gadhabu zao .

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya