Mtoto wa Dr Salim Ahmed Salim aeleza mkakati wa kufikisha kumbukumbu ya mzazi wao kwa vijana

  • | VOA Swahili
    393 views
    Familia ya Dr Salim Ahmed Salim aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi huru Barani Afrika OAU na Waziri Mkuu wa Tanzania washirikiana kuunda makumbusho ya kidigitali ikiwa na hatua ya kujenga historia mpya na kwenda na wakati kutokana na kizazi kipya kuwa na utashi zaidi wa kupata historia kwa njia ya mitandao ya kijamii. Sikiliza mtoto wa Dr Salim akieleza mkakati huo wa kidigitali juu ya kumbukumbu ya baba yake... #tanzania #kumbukumbu #kidigitali #katibumkuu #umojawanchihuru #afrika #salimahmedsalim #wazirimkuu #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.