Skip to main content
Skip to main content

Mtoto wa mwaka mmoja apotea kutoka mtaa wa Kiamaiko, Nairobi

  • | NTV Video
    251 views
    Duration: 1:43
    Familia moja kutoka mtaa wa Kiamaiko, Nairobi inataka polisi kuanzisha uchunguzi wa haraka kupitia kamera zilizowekwa eneo hilo ili kuwanusuru kutokana na maumivu wanayopitia ya mtoto wao wa mwaka mmoja na miezi mitatu kutoweka. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya