"Nilipigwa na mikanda, minyororo sikuweza hata kusimama siku zingine"
BBC imefichua jinsi kiongozi wa kanisa kubwa Nigeria marehemu TB Joshua, ambaye anatuhumiwa kwa uhalifu wa kingono, alivyomfungia binti yake mwenyewe na kumtesa kwa miaka na kumuacha bila makazi katika mitaa ya Lagos, Nigeria.
Madai ya unyanyasaji katika eneo la siri la Lagos yamedumu kwa takriban miaka 20.
Kanisa la Synagogue Church of all Nations halikujibu madai hayo lakini lilisema madai ya zamani hayana msingi.
#bbcswahili #upekuziwabbc #BBCAfricaEye
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Aug 2025
- Health Cabinet Secretary (CS) Aden Duale has announced plans to set up a joint committee with the CEOs of insurance companies across the country to tackle fraudulent activities that have been plaguing the Social Health Authority (SHA).
18 Aug 2025
- President William Ruto has vowed to ensure that Members of Parliament and Senators behind an extortion scheme called soko huru are apprehended.
18 Aug 2025
- The death toll from a blast at a gunpowder plant near Moscow rose to 20, with more than 100 wounded, the authorities said on Monday, as a probe began into possible industrial safety violations.