Skip to main content
Skip to main content

Mtu mla watu Ruiru? Mwanamme asiyetambuilika awavamia na kuwang’ata watu

  • | KBC Video
    45,547 views
    Duration: 3:50
    Hofu na wasiwasi umewakumba wakazi wa eneo la Gitothua huko Ruiru, kaunti ya Kiambu, kufuatia visa kadhaa vya uvamizi unaotekelezwa wakati wa usiku na mwanamme ambaye hajatambulika anayeripotiwa kuwapora watu wanaotembea kwa miguu kabla ya kuwang’ata. Kisa cha hivi punde kilitokea tarehe 11 mwezi huu ambapo watu wawili walijeruhiwa huku wakazi wakishinikiza kuongezwa kwa doria za polisi na kukamatwa haraka kwa mshukiwa huyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive