Mtu mmoja afariki baada ya kusombwa na maji Nakuru

  • | Citizen TV
    815 views

    Mtu Mmoja Amefariki Baada Ya Kusombwa Na Maji Jijini Nakuru Kufuatia Mvua Kubwa Iliyonyesha Jumanne Usiku. Mashimo Yamechimbika Katika Eneo La Eveready Kando Ya Barabara Kuu Ya Nakuru Kuelekea Eldoret.