Skip to main content
Skip to main content

Mtu mmoja aliuawa Chwele eneobunge la Kabuchai katika vurugu za uchaguzi mdogo

  • | Citizen TV
    621 views
    Duration: 2:40
    Mtu mmoja aliuawa kwenye vurugu za kampeni za uchaguzi mdogo katika wodi ya Chwele huko Kabuchai kaunti ya Bungoma. Mzee huyo wa miaka 70 aliyekuwa akipokea matibabu baada ya ghasia hizo amefariki akipokea matibabu. Wengine waliojeruhiwa wanaendelea kutibiwa. Haya yamejiri huku joto la kisiasa likitanda miongoni mwa wanasiasa wanaojiandaa kwa chaguzi ndogo maeneo mbalimbali nchini