Mtu mmoja auwawa huku nyumba nane zikiteketezwa

  • | Citizen TV
    2,121 views

    Nyumba 8 zimeteketezwa katika kijiji cha karota kaunti ya Nyamira na umati uliokuwa na ghadhabu baada ya mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 24 kuuawa kwa kudungwa kisu wakati akibugia pombe katika kijiji hicho.