Mudavadi : Serikali kujitahidi kufufua mashirika ya kudhibiti sekta mbali mbali

  • | KBC Video
    53 views

    Serikali ya Kenya Kwanza inajitahidi kufufua mashirika ya kudhibiti sekta mbali mbali katika juhudi za kulainisha utoaji huduma na kuzuia hasara. Waziri mwenye mamalaka makuu Musalia Mudavadi amesema mageuzi ya sera yataunganisha majukumu ya mashirika hayo kufakikisha ufanzaji kazi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News