Katikati ya Delta ya Okavango ya Botswana yenye kuvutia, mabadiliko ya ajabu yanaunda upya mandhari ya jadi ya uendeshaji mashua - jukumu ambalo kwa muda mrefu limekuwa likitawaliwa na wanaume.
Cindy Mothogaathobogwe ni mwendesha mashua wa kike, na vilevile huwaongoza watalii katika utalii wa kipekee wa wanyamapori, anajaribu kupingana na fikra potofu na kulrta mabadiliko chanya kwenye jamii yake.
#bbcswahili #botswana #wanawake
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Aug 2025
- Health Cabinet Secretary (CS) Aden Duale has announced plans to set up a joint committee with the CEOs of insurance companies across the country to tackle fraudulent activities that have been plaguing the Social Health Authority (SHA).
18 Aug 2025
- President William Ruto has vowed to ensure that Members of Parliament and Senators behind an extortion scheme called soko huru are apprehended.
18 Aug 2025
- The death toll from a blast at a gunpowder plant near Moscow rose to 20, with more than 100 wounded, the authorities said on Monday, as a probe began into possible industrial safety violations.