Skip to main content
Skip to main content

Murkomen ailaumu upinzani kwa vurugu za mikutano

  • | Citizen TV
    1,308 views
    Duration: 1:20
    Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen anashutumu baadhi ya viongozi wa kisiasa kwa kuandaa ghasia katika mikutano yao kisiasa kama njia mojawapo ya kujitafutia umaarufu. Murkomen akionya kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wale wanaojihusiha na machafuko yanayoshuhudiwa kwenye mikutano ya siasa, haswa msimu huu wa maandalizi ya uchaguzi mkuu.Waziri Murkomen amezungumza wakati wa ibada ya Jumapili katika kanisa la AIC Kipkelion Kaunti ya Kericho