Skip to main content
Skip to main content

Murkomen asheherekea Krismasi na maafisa wa usalama, awashukuru kwa kudumisha amani North Rift

  • | KBC Video
    420 views
    Duration: 3:25
    Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen alisherehekea siku kuu ya Krismasi na maafisa wa usalama waliopelekwa kuhudumu katika Kambi ya Todo KDF katika Kaunti Ndogo ya Kolowa, Kaunti ya Baringo.Waziri Murkomen aliwapongeza maafisa hao na kuelezea kuridhika kwake na juhudi zao za kudumisha ama ni na utulivu katika eneo hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive