- 263 viewsDuration: 2:30Musyi FM ilitua mjini Kibwezi katika Kaunti ya Makueni kwa ziara ya kusisimua ya Kukutana na wakazi na mashabiki wa stesheni hiyo ya redio. Hafla hiyo ya siku nzima lilivutia maelfu ya mashabiki wa Musyi FM ambao walitumbuizwa na wasanii tajika wanaocharaza muziki kwa lugha ya kikamba. Mashabiki pia walijishindia zawadi kemkem.