Skip to main content
Skip to main content

Muuga FM yafanya msafara Meru kukutana na mashabiki

  • | Citizen TV
    97 views
    Duration: 1:29
    Stesheni ya redio ya Muuga FM inayopeperusha matangazo yake kwa lugha ya kimeru imefanya msafara katika maeneo mbalimbali ya kaunti ya Meru ambapo watangazaji walikutana na mashabiki wao.