Muungano wa Azimio wapinga hatua za kuongeza ushuru

  • | Citizen TV
    1,434 views

    Viongozi kutoka muungano wa Azimio One Kenya Wameendelea kukashifu mpango wa serikali wa kuongeza ushuru kila kuchao licha ya changamoto zinazozidi kuMkumba mkenya wa Kawaida.