22 Sep 2025 1:07 pm | NTV Video 898 views Duration: 1:27 Muungano wa hospitali za kibinafsi jijini na mashinani, RUPHA umetangaza kusitishwa kwa huduma za bima ya SHA kufuatia ukosefu wa malipo kutoka bima hiyo.