Muungano wa Kenya Youth waanda mkutano maalum katika kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    323 views

    Vijana kutoka kaunti mbalimbali chini ya muungano wa Kenya Youths Organisation wameafikiana kushirikiana na kuchukua nafasi zao za uongozi kando na kutafuta mbinu za kisasa za kukabiliana na changamoto zinazowakumba.