Muungano wa KMPDU unatishia kufanya mgomo ikiwa matakwa yao hayata angaziwa

  • | TV 47
    9 views

    Muungano wa madaktari nchini KMPDU hii leo ulifanya maandamano ya amani na kufikisha ombi la matakwa yao katika makao makuu ya wizara ya afya pamoja na afisi za baraza la magavana. Muungano huo ambao sasa unatishia kuenda katika mgomo unaitaka serikali kutimiza ahadi yao ya kuwaajiri madaktari zaidi. Kwa upande wa serikali kupitia mwenyekiti wa baraza la magavana na waziri wa afya wamewarai madaktari kuwa wavumilivu hadi pale matakwa yao yatakapotimizwa. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __