13 Oct 2025 1:09 pm | Citizen TV 236 views Duration: 1:04 Muungano wa madaktari nchini KMPDU umeongoza maandamano mjini Kiambu kukashifu hatua ya serikali ya kaunti hiyo kupuuza mkataba wa makubaliano hatua iliyochochea madaktari hao kugoma.