Muungano wa Madaktari sasa umesema kuwa madaktari kote nchini watagoma kuanzia mwezi Disemba

  • | KBC Video
    62 views

    Muungano wa Madaktari, Wataalamu wa dawa na Madaktari wa meno sasa umesema kuwa madaktari kote nchini watagoma kuanzia mwezi Disemba iwapo serikali itashindwa kuafiki mkataba wa pamoja wa maelewano-CBA.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive