- 2,654 viewsDuration: 2:37Viongozi wa muungano wa upinzani wanaendelea kuwalaumu maafisa wa polisi kwa madai ya kuvamia na kuvuruga mikutano yao ya kisiasa. Wakizungumza na wanahabari baada ya kumkosa Inspekta jenerali wa polisi ofisini mwake hapa jijini Nairobi, wamedai kuwa Inspekta jenerali Douglas Kanja anakwepa majukumu yake ya kudhibiti vurugu kwenye mikutano ya kisiasa.