29 Sep 2025 1:13 pm | Citizen TV 444 views Duration: 1:51 Zoezi la usajili wa wapiga kura limeanza rasmi katika kaunti ya mombasa huku baadhi ya wakazi wakitaka tume ya uchaguzi na mipaka IEBC kupeleka shughuli hiyo katika maeneo yaliyo karibu na makazi yao.