9 Apr 2026 1:20 pm | Citizen TV 251 views Duration: 3:24 Muungano wa viongozi wa dini kutoka Ngong, Kajiado Kaskazini umekashifu vikali matamshi ya chuki na uchochezi kutoka kwa baadhi ya viongozi wa kisiasa, ukitoa wito wa kudumishwa kwa amani na mshikamano nchini.