Muungano wa wahudumu wa afya watoa mapendekezo yao kwa mataifa ya Africa Mashariki

  • | K24 Video
    30 views

    Shirika la kimataifa la huduma za umma limetaka serikali za mataifa ya Afrika Mashariki kushirikiana katika kuboresha mifumo yao ya afya, na kulenga masuala kama utengenezaji chanjo na dawa. Muungano wa wahudumu wa afya kutoka mataifa ya Burundi, Rwanda, Congo, Uganda, Tanzania na Kenya, imetoa baadhi ya mapendekezo wanayotaka yazingatiwe katika kuboresha mfumo wa afya Afrika Mashariki.