- 95 viewsDuration: 1:25Muungano wa wake wa magavana (CFLA) umezindua mpango wa miaka minne unaolenga kuboresha afya, elimu, usawa wa kijinsia, uchumi na udhabiti dhidi ya mabadiliko ya tabianchi katika kaunti 47. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya