- 9,096 viewsDuration: 3:53Mvua kubwa inayoendelea kunyesha huko Mombasa imesababisha mafuriko katika barabara nyingi za Nyanjani na maji kuingia katika makazi. Katika mitaa ya ziwa la ng'ombe, Bamburi na Kadzandani biashara zimeathirika, zahanati kusalia kufungwa pamoja na kituo cha polisi cha kadzandani wakazi wamekosa kufika kutokana mafuriko barabarani. Wakazi sasa wanataka suluhu ya haraka ya kurekebishwa kwa mabomba ya maji taka