Mvua kubwa yasababisha mafurikoFalme za kiarabu

  • | BBC Swahili
    8,237 views
    Mvua kubwa imenyesha katika baadhi ya mataifa ya Ghuba, na kusababisha mafuriko katika ukanda huo, ikiwa ni pamoja na Dubai, Bahrain na Oman. Mamlaka nchini Oman imesema takriban watu 19 wamefariki dunia kutokana na mafuriko. Shughuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai zilisitishwa kwa muda kutokana na mafuriko hayo. #bbcswahili #dubai #mafuriko #mabadilikotabianchi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw