Mvua yasababisha mafuriko Mombasa

  • | Citizen TV
    678 views

    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha imesababisha mafuriko katika makazi na barabara mjini mombasa. Maeneo yalioathirika ni eneo Bunge la nyali na kutatiza Uchukuzi katika barabara za links na beach road. Francis Mtalaki anajiunga nasi mubashara kutoka nyali Mombasa kwa mengi zaidi.