15 Dec 2025 10:20 am | Citizen TV 1,813 views Duration: 1:53 Viongozi kutoka kaunti ya Tana River wamekashifu vikali mauaji ya kijana mmoja mwenye umri wa ishirini aliyepigwa risasi na polisi na kuwauwa papo hapo katika eneo la Kilindini.