- 41 viewsDuration: 1:20NYOTA IN MACHAKOS Waziri Salim Mvurya : Hawa vijana wote hapa Machakos wako katika safari ya Singapore . Pesa ya biashara ambayo watapata leo kupitia mpango wa NYOTA ni njia moja ya kuhakikisha wamechangia uchumi wao na uchumi wa Kenya.