Mvutano wa kisheria wajitokeza katika utetezi wa wanaoomba hifadhi

  • | VOA Swahili
    92 views
    Shirika la Scalabrini Centre, lisilo la kiserikali lenye makao yake Cape Town, Afrika Kusini, limeungana na Mawakili wa Haki za Binadamu kuzuia kufukuzwa kwa waomba hifadhi nchini humo. Kinasema mwenendo huo unakadamiza kanuni za msingi za sheria ya wakimbizi ya ndani ya nchi na ya kimataifa. Vicky Stark anaripoti kutoka Cape Town. #worldrefugeeday #wrd #refugees #southafrica #capetown #humanrights #scalabrinicentre #voa