Skip to main content
Skip to main content

Mvutano wa kisiasa Mbeere

  • | Citizen TV
    427 views
    Kundi la wazee kutoka Mbeere North limekosoa vikali mwenendo wa mbunge wa eneo la Manyatta Gitonga Mukunji, wakimtuhumu kwa kudhoofisha uongozi wa eneo hilo na kuwakosea heshima mbunge wao pamoja na wakazi.