Mwakilishi wadi Garissa awatishia wakazi kwa kisu

  • | Citizen TV
    3,156 views

    Kizaazaa kilishuhudiwa katika mkahawa mmoja kaunti ya Garissa baada ya Mwakilishi Wodi mmoja kuvamia eneo hilo akiwa amejihami kwa kisu.