Mwalimu mwenye sentimita 90

  • | BBC Swahili
    1,703 views
    Mwalimu wa shule mwenye urefu wa sentimita 90 Rita Rani ni mwalimu kutoka India , aliyezaliwa na ulemavu wa kudumaa , na anasema mara nyingi alidharauliwa na jamii kutokana na hali yake. Lakini baada ya kufuata shauku yake ya kufundisha, sasa anawahamasisha wanafunzi wake kuweka bidii katika masomo. - - #bbcswahili #indian #walimu #wanafunzi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw