Mwambu Mabonga na Wafula Wamunyinyi walikataliwa kwa uchaguzi na wananchi -Didmus Barasa

  • | West TV
    267 views
    Mbunge wa Kimilili na mfwasi wa chama cha UDA amejitokeza na kuwasuta wanasiasa wawili maarufu katika kaunti ya Bungoma kwa kuwania kiti cha Useneta baada yao kubwagwa katika viti vya ubunge maeneo yao kuwa walikataliwa na wanachi.