Skip to main content
Skip to main content

Mwamuzi wa Somalia aliyenyimwa kuingia Marekani arejea nyumbani

  • | BBC Swahili
    9,831 views
    Duration: 40s
    Mwamuzi wa FIFA na CAF, Omar Artan, amerejea katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, na kupokelewa kama shujaa baada ya kunyimwa kibali cha kuingia nchini Marekani, ambako alikuwa amepangiwa kuchezesha mechi za Kombe la Dunia #bbcswahili #Somalia #kombeladunia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw