14 Sep 2026 10:08 am | Citizen TV 2,013 views Duration: 1:39 Mhudumu wa bodaboda ameuawa kwa kupigwa risasi eneo la Kibwezi. Wakazi wamelalamikia kuongezeka kwa visa vya uhalifu, huku washukiwa wakidaiwa pia kuiba pikipiki ya marehemu.