Mwanahabari nguli Yahya Kutoka Azam TV, Tanzania azungumzia changamoto za vyombo vya habari nchini

  • | VOA Swahili
    146 views
    Mwanahabari nguli Yahya Kutoka Azam TV, Tanzania azungumzia changamoto za vyombo vya habari nchini #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.