Mwanaharakati na mcheshi Eric Omondi ameendeleza mchakato wa kukusanya saini

  • | TV 47
    112 views

    Mwanaharakati na mcheshi Eric Omondi ameendeleza mchakato wa kukusanya saini kushinikiza kura ya maoni kutoka kwa wakenya.

    Kwa lengo la kupunguza baadhi ya nyadhifa serikalini.

    Akizungumza mjini Butere katika hafla ya kukuza talanta kupitia kandakanda Omondi aliyekuwa amenadamana na mwanaharakati mwenza Bonface Ngashira amesema kuwa taifa la Kenya halikuwa tayari kwa katiba ya sasa huku wakipendekeza kupunguzwa kwa magavana kutoka 47 hadi 8.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __