Peter Mugure ambaye wakati mmoja alihudumu katika jeshi la Kenya KDF, amehukumiwa kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mkewe na watoto wake wawili mwezi oktoba mwaka 2019 katika kituo cha wanahewa cha Laikipia. Jaji Martin Muya akitoa kauli hiyo hii leo katika mahakama kuu ya Milimani,aliamua kwamba kitendo hicho kilikuwa cha kinyama na kwamba kosa hilo linastahili adabu kali kulingana na sheria.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive